SEMINA YA KIROHO

MCH;GLADYNESS TUP
SOMO: KUMILIKIWA NA KUKANDAMIZWA UFAHAMU 
      Kumilikiwa na kukandamizwa kupo kwenye mawazo ya umaskini, kuna wengine sio ni pesa inawafanya washindwe kufanya kazi bali ni umasikini.tamani kujifunza na kuwaza mawazo mazuri
Shida ya watu wengi hawataki kujifunza na kutaka kujua mwenzako anafanyaje ili ufanikiwe. Na pia ujue kwanini ndugu yako anafanikiwa, kama watu tuliookoka tunatakiwa kujifunza
Zaburi 106 33-35.
Unatakiwa uwe tayari kujifunza ubaadae wako na Mungu, shetani anakukamata katika vitu uvipendavyo kama simu ili vikufanye  ushindwa kujifunza elimu ya Mungu. kupo
Haiwezekani ujifunze mambo ya Mungu  na ibu ikakujilia bali siku kwa siku unabadilika kimaneno na kimatendo KWA KUJIFUNZA MAMBO YA MUNGU unakuwa wa tofauti . MTU anayetaka kujifunza mambo ya mungu unakwa watofauti
NOTE

  • Usifanye matendo ya mataifa, tabia yoyote na kitu chochote kilichokatazwa au kutolewa onyo katika bibilia na wewe uliyeokoka ukayafanya basi ww unafanya ibada ya sanamu maana kicho unacho kifanya hakimtukuzi MUNGU.

  • Kama watu tuliookoka lazima ukubali kujifunza kuyatengeneza maisha yako kila siku, usipo kubali kujitengenezea na kujifunza wafu nao wata chukua nafasi katika maisha yako ukashindwa kuomba wala kufanya jambo lolote la MUNGU NA kukukandamiza

Lazima mimi nijitengenezee kuishi maisha ya amani na furaha
Kama  huna kazi ya kufanya huwezi kwa na ratiba na sisi tu kama wanafunzi wa Yesu tuna ratiba na tutakuwa na ratiba ya kila tunachokifanya.
Na wewe pia lazima uwe na ratiba , mtu yeyote  asiye na ratiba mtu huyo sio mwandaaji wa kitu chochote kila mwandaaji anaratiba yake na pia huyu mtu atakuwa na vitu vizuri vyenye ubora na akili.

  • Na mtu yeyote ambaye sio mwandaaaji huwa mara nyingi sio mtu wa kutafakari katika mambo yake na Mungu, usipokuwa mtendaji huwezi kuwa na kitu cha kusema , kuongea , wala huwezi kuwa na kitu cha kumfundisha na kumuandaa mwingine na mtu wa jinsi hii hawezi kubadilisha maisha ya mtu mwingine maana yeye ameshindwa kujibadilisha.

hii ni changamoto ya watu wengine wanashindwa kuwa leta watu kwa yesu . na mtu yeyote anay jiandaa ni mtu wauzingatia na pia ni mtu mwenye malengo
Katika fundisho lolote au agizo lolote unalopewa kwaajili ya kutendea kazi

  • Usipo kubali kujifunza mambo ya MUNGU jua shetani atakufundisha ya kwake , jifunze usilaumiwe na mtu yeyote.

  • Huu sio wakati wa kuburzwa na shetani mimi GLADY, usiharibu imani yako kwa ulicho hubiriwa

  • Kila aliye wa kristo kubalikujifunza


 AMEN!!




Share this