SIKU YA TATU YA SEMINA
(KIPINDI CHA VIONGOZI)
MT.MICHAEL KABALILA KUTOKA EFATHA
MWENGE
SOMO:KAZI
MUNGU NA TASISI,Yeyote ina kanuni
yake. wasio tenda katika kanuni hawafanikiwi
Mithali 4;7
Kanuni ya mapato ni kulejesha baadhi
ya faida kwa jamii
Tasisi lazima iwajibike kwa watu
wake.
Mtu au tasisi yeyote inayo lejesha
fadhila au faida kwa jamii huendelea sana
Mfano;tasisi inayo somesha
Nikanuni ya mungu kulejesha faida
asilimia fulani
Muhubili.9;10a
kama una jukumu lolote Tenda kazi kwa
nguvu zote. Kazi zinaharibika kwa kufanya kwa ulegevu. & tumia uwezo wako
wako wote. Pasiwepo wa kuku lalamikia
2timotheo.2;6
kwamfano unapo mwambia roho mtakatifu
akukumbushe uwe unajua unayo azina yako maana yeye atakukumbusha kutoka katika
azina yako
Muhubili 12;14
Mungu huhukumu kila kazi iwa mbaya au
nzuli
Rumi.13;1-8
Kutii mamraka iliyo kuu kwamaana
zimewekwa na mungu mwenyewe. Lazima niheshimu kile alicho nacho kiongozi wangu
. natakiwa kuwa nahekima katika kutatua matatizo
Kila tasisi zina haki ya kishelia na
mamlaka zake, kila mtu lazima atii, usipo tii umeiasi tasisi hiyo ndipo una
hukumiwa
Katika tasisi yeyote tenda kazi kwa
hofu na kutetemeka na wanao sitahili heshima na umuheshimu na wape wengine haki
zao
Kwa kadri Utakavyo heshimu wengine
ndivyo utakavyo heshimiwa
Kwakadri unavyo ficha tatizo ndivyo
tatizo rinavyo zidi kuwa kubwazaizi
Malaki.2;7
Ukitaka kudai heshima uwe na heshima
1wafalme.10;
Malaki.2;3
·
Usipo fanya maandalizi ya kukaana wa kuu huwezi kukaana wakuu
1wakortho. 9;2-3
·
hudumia watumishi wa mungu ili ubarikiwe.
·
unatakiwa kufanya mambo yote kwaajili ya kiristp
·
unatakiwa ukisikia jambo jema ritafute kwa galama zote. Kama
vile markia wa shiba arpo fanya .i:wafalme.10;
·
Markia alipo ona hekima ya sulemani nyuma aliyo ijenga na
chakula chakula cha mezani ambacho watumishi wake wameandaa,watumishi wake
walivyo kaa,kusimamia,walivyo jenga,walivyo vaa,wanyweshaji wake, na madaraja
yake roho akisimia
·
acha na ligha ambayo siyo ya kifalme ongea lugha ya kifalme
Mwanzo.45;1-8
·
Kuwa na mtazamo chanya, ussiangalie vile umetendewa angalia
na zingatia unataka kuteanda jema lipi kwa watu na MUNGU
Luka.12;35-48
·
Kadri unavyo hudumia watumishi wa mungu ndivyo unavyo zidi
kubalikiwa. N/B.eneo nilipo niwe matokeo ya ubora nilio nao katika kristo yesu
·
kama umetumwa au kiongozi usijilinganishe na watu wengine. na nitende katika waminifu na ukamilifu kama
yesu alivyo alivyo maliza kazi yake
·
Yapasa kuwa na juhudi ya kweli katika utendaji wa kazi,na
umudu mazingila ya kazi hiyo ndipo unaongezewa mafuta zaidi na kuhudumia kundi
kubwa zaidi
2timotheo.2;5-7
Mwanzo.41;33
Kanisa lazima iandae vijana lisipo
andaa vijana jamii itaandaa. Kijana anapo taka kuowa hatafutiwi mke
Mama pekee yake ndiye anaweza kutoa
mama mwingine. Kwaruga nyine mama ndiye anamjenga dada kuwa mama
Kama huja zaliwa na sifa zakuwa
mama(baba) lazimaa ujengwe kuwa mama (baba