SIKU YA PILI
Muendelezo wa siku
iliyopita.....
FAMILIA KAMA LANGO
Yakobo
badala ya kuwabariki watoto wake alianza kuachilia laana kwao,
Mwanzo
49:5
Mwanzo
26:8-10
8. Ikawaalipokuwaamekaahukosikunyingi, Abimeleki, mfalmewaWafilisti,
akachunguliadirishani, akamwonaIsakaanacheza-chezanaRebekamkewe.
9. AbimelekiakamwitaIsaka, akasema, Yakinihuyunimkeo, mbonaulisema, Ni nduguyanguhuyu?
Isakaakamwambia,Kwasababunalisema, Nisifekwaajiliyake.
10. Abimelekiakasema, Ni ninihiiuliyotutendea? Labdamtummojawapoangalilalanamkeobilakufikiri, naweungalitutiahatiani.
- Maombiyamumenamkehujibiwaharaka
- Leo wokovuutaingiakwako,kama vile YesualivyomwambiaZakayoalipomwonajuuyamkuyu.
Isaka, yakobonawaliofuatawotewalikuwakiunonimwaIbrahimu, kwahiyomahusianoyaIbrahimunaMunguyanakujakutembeakatikawotewatakaozaliwakatikakiuno
cha Irahimunyuma, laanaikitokea pia inakujakuwapitiawote.
- Laanamaanayakenikuua, nakamanikuuamaanayakehutegemeichochotechemakutokakwenyekilicholaaniwa!!! Ukiwakatikaukoouliolaaniwamaanayakeumekufa.
- Uzimaunatokandaniyamtunalaana pia vivyohivyo, ndiyomaanawengiwanahangaikanalaanazawazindiyomaanautawakutawanaishimaishayaajabutu, kuumwakilawakatinamwishowasikuwanakujakulaaniuzaowao pia. Kama ilivyokuwakwaYakobo.
Mwanzo 27:1 nakuendelea
1. IkawaIsakaalipokuwamzee, na macho yakeyamepofukaasione, akamwita Esau,
mwanawemkubwa, akamwambia, Mwanangu. Nayeakamwitikia, Mimi hapa.
2.
Akasema, Tazama, sasamiminimekuwamzee,
walasijuisikuyakufakwangu.
3.
Basi, nakuomba, chukuamatayako,
podolakonaupindewako, ukaendenyikaniuniwindiemawindo;
4.
ukanifanyiechakulakitamunamnaileniipendayo,
ukaniletee, ilinile; narohoyanguikubariki, kablasijafa.
5.
Na Rebekaakasikia, Isakaaliposemana Esau
mwanawe. Basi Esau akaendanyikaniawindemawindo, ayalete.
6.
RebekaakamwambiaYakobomwanawe, akisema,
Angalia, nimemsikia baba yakoakisemana Esau, nduguyako, akinena,
7.
Nileteemawindo,
ukanifanyiechakulakitamuilinile, nakukubarikimbeleza Bwana kablayakufakwangu.
8.
Basi, mwanangu,
sikilizasautiyangukamanitakavyokuagiza.
9.
Enendasasakundiniukanitwaliewana-mbuziwawiliwaliowema,
naminitawafanyachakulakitamukwa baba yako, namnaileaipendayo.
10.
Kishautampelekea baba yako, apatekula,
iliakubarikikablayakufakwake.
§ Haya yalitokeakwasababutayarihukonyumalaanailishatolewakwauzaowaIbrahimuyakuwamkubwaatamtumikiamdogo.Ukiendeleakusomamsatariwa
33 tunaonabaadayaYakobokubarikiwanakuondokaakaja Esau,
nayeIsakaakasemaameshambarikiYakobonayeatabarikiwaikimaanishabarakaikitokahukabidhiwayotekwaaliyebarikiwanamamlakayakutenguainakuwahaipotena.
Mwanzo 30:27,29na 30
- Hapatunaonaasiliyamtuinamfanyakuwamahalinakuruhusu mambo yaasiliyakekufanyika. Mfano, kiongoziyeyotemwenyeasiliyamafanikiohusababishamafanikiokatikaeneoanaloliongoza.
- Hapa pia tunapatakujifunzakwambaukikoseakukaakatikanafasisahihihutaziona Baraka namaongezekoyatakuwakinyumenawewe.
Mwanzo 26:12
“Isakaakapandambegukatikanchiile, akapatamwakaulevipimomiakwakimoja,
Bwana akambariki.” Ni kwasababualikuwamahalisahihi.
Lengonakusudila Mungukwamwandamu(mtu)ni Baraka nasiolaana, Mwanzo
1:27-28
27. Munguakaumbamtukwamfano wake, kwamfanowaMungualimwumba,
mwanamumenamwanamkealiwaumba.
28. Munguakawabarikia, Munguakawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijazenchi,
nakuitiisha; mkatawalesamakiwabaharini, nandegewaangani, nakilakiumbechenyeuhaikiendachojuuyanchi.
Kanuniyakuachilia Baraka kwavizazivijavyoniyaMungu,
nandivyowazaziwanavyotakiwakufanyakwawatotowaoiliwawena Baraka
nasiyomaumivuiliikifikamudanawaokuwabarikiwanaowafanyesawasawanampangobuowaMungu.