SIKU YA TATU



SIKU YA TATU YA SEMINA
(KIPINDI CHA VIONGOZI)
MT.MICHAEL KABALILA KUTOKA EFATHA MWENGE
SOMO:KAZI
KITABU;MITHALI 4:7
MUNGU NA TASISI,Yeyote ina kanuni yake. wasio tenda katika kanuni hawafanikiwi
Mithali 4;7
Kanuni ya mapato ni kulejesha baadhi ya faida kwa jamii
Tasisi lazima iwajibike kwa watu wake.
Mtu au tasisi yeyote inayo lejesha fadhila au faida kwa jamii huendelea sana
Mfano;tasisi inayo somesha


 SIKU YA PILI
Muendelezo wa siku iliyopita.....

FAMILIA KAMA LANGO
Yakobo badala ya kuwabariki watoto wake alianza kuachilia laana kwao,
Mwanzo 49:5
Maisha ya Isaka yalivyokuwa
Mwanzo 26:8-10
8.  Ikawaalipokuwaamekaahukosikunyingi, Abimeleki, mfalmewaWafilisti, akachunguliadirishani, akamwonaIsakaanacheza-chezanaRebekamkewe.
9.  AbimelekiakamwitaIsaka, akasema, Yakinihuyunimkeo, mbonaulisema, Ni nduguyanguhuyu? Isakaakamwambia,Kwasababunalisema, Nisifekwaajiliyake.
IBADA YA SEMINA  Trh 19/02 /2015 - 23/02 /2015

SIKU YA KWANZA


Somo: FAMILIA KAMA LANGO
Maana ya lango
Yohana 10:9
Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho. Katika Yohana 10:7 Bibia inasema;“Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo.”

Kuna mlango ukiingia sahau wokovu na Kuna mlango ukiingia kuna utele, utele wa Maisha, Baraka, Amani, uzima n.k. Huu ndiyo mlango wa Yesu Kristo.